MWAMBA HUYU HAPA ATAJWA KUMALIZANA NA YANGA - Saleh Jembe

June 1, 2024

Beki huyo mwenye miaka 24 raia wa DR Congo Yanga wanatajwa kumalizana naye mapema kwa ajili ya kuimarisha kikosi hicho kinachonolewana Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.

Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi wakiwa na pointi zao 80 msimu wa 2023/24 beki wao wa upande wa kushoto chaguo la kwanza alikuwa ni Joyce Lomalisa ambaye anatajwa kwamba anasepa ndani ya kikosi hicho.

Sababu hiyo imewafanya mabosi wa Yanga kuingia chimbo kusaka mashine nyingine ya kazi mapema wamemalizana na beki huyo ambaye atakuja kuchukua mikoba ya Lomalisa.

Ni kandarasi ya miaka miwili inatajwa kwamba amesaini kujiunga na timu hiyo yenye tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

Sports

MCHEZAJI BORA FAINALI CRDB FEDERATION CUP AKIRI HAIKUWA RAHISI

Sports

SIMBA YATAJA SABABU YA HUZUNI KUTAWALA

Sports

YANGA YAFICHUA SIRI YA UBINGWA CRDB FEDERATION CUP

Sports

HAWA HAPA WAWAKILISHI KWENYE ANGA LA KIMATAIFA

Sports

MWAKINYO AFUNGUKIA ISHU YAKE NA AZAM

Sports

MABINGWA YANGA WATEMBEZA MKWARA

betpawa tz sportybet gal sport betting betpawa tz log in gal sport betting tz sportybet tz betpawa download

This site only collects related articles. Viewing the original, please copy and open the following link:MWAMBA HUYU HAPA ATAJWA KUMALIZANA NA YANGA - Saleh Jembe

Offers and Bonuses 🎁 💰 ✨ betpawa tz🎬
Latest Articles🔥 Popular Articles🎉
Recommended Articles🎻
# Article Title Keyword Article Link Article Details